“Still The One” - Sauti Sol

Still The One - Sauti Sol

➧Sauti Sol


Plays : 23,384
Downloads : 37,086
Album (All Songs) :

Like us on Facebook:

“Still The One” Lyrics

(Intro) Bien
Another one for the ladiiies

Sauti Sol

yeeeeaaahhhh, yeah baby
touch me baby

(verse 1) Bien
Tulipokua prymo
ulisema umeninoki
nikakuseti kwa odijo
tukaingia seco
adole zikanipanda
nikakubusu kwenye bustop hey
tukaingia campooo
nikasema nakupenda
ukasema unasomaaaa

bado nakuona daily
looking fly nakufeel even more
i wonder what I'm gonna do
if you ever walk out the door

[CHORUS]
bado we ni yule yule
bado nakufeel baby vile vileee x2

ukiwa mbali nakonda sana
nikikuona mi napagawa

bado we ni yule yule
bado nakufeel baby vile vile

love is a strong ting strong ting
strong ting
my love is a strong ting strong ting strong ting

(verse 2) Delvin
tukamaliza campo
nikaanza kuimba
ukapata kajobo downtown
tukapatana tao
you were looking very sexy
tukawasha kavodo
ukawa tipsy kidogo.
Ukasema unanipeenda
na huwezi kuniaacha
tangu zamani ukinipenda
ila hukuweza sema

mmm, na bado nakuona daily
looking fly nakufeel even more
I wonder what I'm gonna do
if you ever walk out the door

CHORUS

(verse 3) Willis
nikaimba laazizi(laazizi wangu we)
nikaimbia polisi (aaaaah)
na nikaimba soma soma soma
ooh yea na nikasema popote ulipoo, mi nakuwaza mama
I'm a, I'm a, I'm a gentleman x2

na bado nakuona daily
looking fly nakufeel even more
I wonder what I'm gonna do
if you ever walk out the dooooor

CHORUS

Na sasa uko fifty bado unakaa fiti
yea you can gerrit.